Stori: Musa Mateja
MBONGO Fleva anayesumbua na wimbo wa Masebene, Elly Michel Kilema ‘Y-Tony’ amevunja ukimya kwa kumwanika mpenzi wake wa ‘long time’, Asia Msemo.
Mbongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Masebene, Elly Michel Kilema ‘Y-Tony’ akiwa na bebi wake wa ‘long time’, Asia Msemo.
Tukio hilo la kumwanika kimwana wake alilifanya juzikati baada ya kutua ndani ya Ofisi za Global Publishers, Bamaga-Mwenge, Dar kutambulisha video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina…

No comments:
Post a Comment