AMANDA STAREHE KWANZA, MUNGU BAADAYE


Stori: Hamida Hassan

STAA mwenye shepu ya aina yake ndani ya Bongo Movies, Tamrina Poshi ‘Amanda’ ameibuka na kusema kuwa siku ikifika atarejea kwa Mwenyezi Mungu lakini kwa sasa bado anakula ujana.
Staa mwenye shepu ya aina yake ndani ya Bongo Movies, Tamrina Poshi ‘Amanda’.
Akipiga stori na Ijumaa Wikienda, Amanda alisema kwa sasa umri wake unamruhusu kula ujana kwa mambo ya starehe kama kuvaa mavazi ya kuacha mwili wake nusu utupu kwa…

No comments:

Post a Comment