AUNT EZEKIEL: BORA NIZAE TU, UMRI UMEENDA!


Stori: Imelda Mtema

NENO! Siku chache baada ya kuripotiwa kuwa ni mjamzito, staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel ameibuka na kufunguka kuwa, aachwe azae kwani umri unazidi kuyoyoma.
Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Aunt alisema watu wamekuwa wakizungumza sana kuhusu ujauzito wake lakini kikubwa ni kwamba ameupata akiwa na umri sahihi na wala siyo chini ya miaka 18.
“Najua watu wengi wanazungumza kuhusu mimi na ujauzito wangu lakini mimi sijaona…

No comments:

Post a Comment