AMANDA POSHI: NIMENUSURIKA KIFO


Stori: Gladness Mallya

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefunguka kuwa anamshukuru Mungu kwani amenusurika kifo kwa ajali ya bodaboda.Akizungumza na paparazi wetu, Amanda alisema ajali hiyo ilitokea hivi karibuni maeneo ya Makonde-Mbezi Beach jijini Dar wakati alipokuwa akiwahi lokesheni.
Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’.
“Nilirudisha gari nyumbani, nikachukua bodaboda ili iniwahishe lokesheni Posta, bodaboda alikuwa spidi likatokea lori la…

No comments:

Post a Comment