NINGEKUWA MIMI ASKOFU METHOD KILAINI, NINGEJIUZULU WADHIFA WANGU


Askofu Method Kilaini.
Salaam baba Askofu Method Kilaini.

Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na majukumu yako ya kuchunga kondoo wa Bwana. Najua itakuwa vigumu kwa mimi kuonana na wewe kutokana na umbali uliopo kati ya Dar es Salaam na Bukoba lakini hilo halinizuii kukufikishia ujumbe wangu.
Baba askofu, mimi sikuzaliwa Machi 30, 1948 kwenye kijiji kilichozungukwa na migomba cha Katoma, Bukoba kama wewe. Sikusomea hukohuko Bukoba na baadaye kusomea falsafa kabla ya kwenda kusomea dini (Teolojia) katika Chuo cha Urban University of Propaganda Fide, Rome jijini Italia na kuhitimu mwaka 1972.
Sikupewa upadrisho mwaka 1972 na Kardinali…

No comments:

Post a Comment