BABY MADAHA CHA WOTE?


Stori: ISSA MNALLY

Baada ya hivi karibuni kunaswa chobingo akiwa na mwanamuziki Haroun Kahena ‘Inspector Haroun’, mwanadada asiyekaukiwa na vituko Baby Joseph Madaha juzikati alibambwa tena akichezewa kimahaba na njemba ndani ya gari kiasi cha kuwafanya wadau kuhoji, yeye ni cha wote?.
Baby Joseph Madaha akichepuka na njemba.
Tukio hilo lilijiri hivi karibuni katika Pub moja iliyopo Kijitonyama jijini Dar ambapo mastaa kibao hukutana na kuponda raha. Awali, Baby Madaha alionekana akiwa…

No comments:

Post a Comment