QUEEN DARLEEN AKOSWAKOSWA NA AJALI


Stori: Hamida Hassan

Msanii wa muziki ambaye ni dada wa Nasibu Abdul ‘Diamond’ Mwajuma Abdul ’Queen Darleen’ juzi alikoswakoswa na ajali alipokuwa kwenye msafara wa kumpokea kaka yake aliyekuwa akitoa nchini Afrika Kusini alikozoa tuzo tatu za Channel O Music Video Awards (CHOMVA).
Msanii wa muziki ambaye ni dada wa Nasibu Abdul ‘Diamond’ Mwajuma Abdul ’Queen Darleen’.
Akiwa kwenye msafara huo ulioanzia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julias Nyerere huku akiwa amedandia kwenye gari ndogo akiwa ametoa nje…

No comments:

Post a Comment