AUNT LULU APIGWA TENA NA BWANA’KE


Stori: Gladness Mallya

MWANADADA mwenye umbo tata Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amedaiwa kubondwa tena na mpenzi wake aitwaye Amani, kisa kikitajwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
Mwanadada mwenye umbo tata Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’.
Chanzo cha habari ambacho ni jirani na msanii huyo kimeeleza kuwa, Aunt Lulu alichezea kipigo hicho hivi karibuni akiwa nyumbani kwao Mbezi Salasala jijini Dar baada ya bwana wake kukuta sms tata kwenye simu…

No comments:

Post a Comment