Kama ilivyo ada naye aliwekwa mtukati na mwandishi wetu Imelda Mtema na kuulizwa maswali ambayo alitoa ushirikiano katika kuyajibu.Ijumaa: Unaonekana kutoandamwa na skendo kama inavyokuwa kwa mastaa wengine, hii inatokana na nini?
Eshe: Unajua mimi ni mke wa mtu, najichunga sana kuhakikisha sichafuki kwa namna yoyote, ndiyo maana unaona skendo…
No comments:
Post a Comment