BODABODA AMCHOMA VISU MWENZAKE, AMUUA!


Stori: Andrew Carlos

DEREVA bodaboda mmoja aliyefahamika kwa jina la Seleman amedaiwa kumchoma visu mwilini dereva mwenzake wa aliyefahamika kwa jina la Panya Road na kumsababishia kifo.
Dereva bodaboda anayefahamika kwa jina la Seleman (mwenye flana) akimshambulia kwa visu mwilini dereva mwenzake anayefahamika kwa jina la Panya Road.
Kwa mujibu wa chanzo, tukio hilo la kusikitisha lilitokea Jumatano iliyopita asubuhi maeneo ya Tungi-Msikitini, Kigamboni, jijini Dar katika chumba…

No comments:

Post a Comment