KOLETHA: SIPENDI UHUSIANO NA WASANII


Stori: Gladness Mallya
MSANII mkongwe kwenye gemu la filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koletha’ amefunguka kwamba tangu aingie kwenye fani hiyo hajawahi kuwa na mpenzi msanii na hapendi hata kuwasikia.
Msanii mkongwe kwenye gemu la filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koletha’
Akipiga stori na gazeti hili, Koletha alisema kutokana na kwamba anazijua tabia zao kwani anafanya nao kazi pia wakati alipoanza fani hiyo alijiapiza kwamba hatakuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtu anayefanya naye…

No comments:

Post a Comment