
WIKI iliyopita tuliishia pale ambapo staa wa Bongo Fleva, Diamond aliachia video yake ya Number One katika uzinduzi usiyo na kiingilio alioufanya ndani ya Hoteli ya Serena jijini Dar ambapo pia alimzawadia gari, aliyekuwa mwanamuziki nguli nchini, marehemu Muhidin Maalim Gurumo.
Wiki hii tunaendelea ambapo katika kuanika maisha yake, Diamond anasema:
Staa wa Bongo Fleva, Diamond.
ASIFU KAMPANI YA DAVIDO “Mwezi wa 10, 2013 nilifanya kolabo na Davido (David Adedeji Adeleke) kutoka nchini Nigeria katika…

No comments:
Post a Comment