WANANCHI: UKAHABA NA UKABAJI NI KERO KUBWA TEMEKE


Temeke ni moja kati ya wilaya tatu zinazounda Jiji la Dar es Salaam. Pia ni jimbo la uchaguzi linaloongozwa na Mheshimiwa Abbas Mtemvu kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).Temeke inapatikana Kusini mwa Jiji la Dar es Salaam ambapo kwa upande wa Mashariki, kuna Bahari ya Hindi, Kusini inapakana na Wilaya ya Mkuranga na Kaskazini na Magharibi inapakana na Wilaya ya Ilala.
Mheshimiwa Abbas Mtemvu.
Wiki iliyopita, Uwazi lilisaga lami hadi katika jimbo hilo na kutembelea kata mbalimbali zikiwemo Mbagala, Mbagala Kuu, Chamazi, Tandika,…

No comments:

Post a Comment