ROSE NDAUKA SASA KILA KITU NI MAMA YAKE


Stori: Laurent Samatta

HATIMAYE diva wa filamu Bongo, Rose Ndauka ametoa kali ya mwaka kwa kudai kuwa baada ya kutengana na mzazi mwezake sasa hapati tabu tena kwani mama yake mzazi amechukua nafasi hiyo na anampa mapenzi ya dhati ambayo hajawahi kupewa na mwanaume yeyote.
Diva wa filamu Bongo, Rose Ndauka.
Akizungumza na Uwazi, Rose alisema pamoja na kuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu lakini hakuwahi kupata mapenzi ambayo sasa anapewa na mama yake pamoja na mtoto wake ambao mara zote…

No comments:

Post a Comment