Acha muvi iendelee! Ile projekti ya mastaa wakubwa Afrika Mashariki, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Zarinah Hassan ‘Zari’ sasa imenoga.
Mastaa wakubwa Afrika Mashariki, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Zarinah Hassan ‘Zari’wakila ujana.
Habari zinaeleza kwamba katika pati ya mwaka ya Zari wiki iliyopita iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Guvnor uliopo Kampala, Uganda mwanadada huyo hakuishia kwenye pati tu bali alitumia nafasi hiyo kumtambulisha Diamond aliyekuwa mgeni…
No comments:
Post a Comment