WEMA KORTINI TENA!


Mkono wa sheria! Achana na drama zake na aliyekuwa mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, mcheza sinema ‘grade one’ Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ anapandishwa kizimbani leo katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar kujibu kesi ya kushambuliwa vijana wawili, Rashid Balazi na Juma Bushiri, wakazi wa jijini Dar, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili.
Staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’.
HAYUKO PEKE YAKE

Katika kujibu kesi hiyo, Madam Wema hatakuwa peke yake kwani mpambe wake,…

No comments:

Post a Comment