Kwa habari za kila siku Soma gazeti la Jambo Leo kupitia website www.jamboleo.co.tz Utajipatia habari mbalimbali ambazo zimetokea nyumbani Tanzania na matukio mengine duniani,gazeti la Jambo Leo linatolewa na kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited, inayochapisha Jarida la Jambo Brand Tanzania, gazeti la michezo la kila wiki, Staa Spoti na gazeti la matangazo la Dar Metro linalotoka kila baada ya wiki mbili.
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
7 months ago
GPLMHARIRI MTENDAJI GAZETI LA JAMBO LEO AMEREMETA
Anicetus M. Busagi akimtambulisha mkewe Levina A. Mtei kwa wageni waalikwa katika hafla ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam. . Mhariri Mtendaji Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo Apata, Anicetus M. Busagi akiwa na mkewe Levina A. Mtei katika hafla kabambe ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Lunch Time. Mhariri Mtendaji Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo Apata, Anicetus M. Busagi...
9 months ago
MichuziWAKITETA JAMBO
6 months ago
Uhuru Newspaper 22 JunMkurugenzi Dar azuliwa jambo
Na Rashid Zahor, Dodoma
MBUNGE wa Temeke (CCM), Abbas Mtemvu amemtaka Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia kumuhamisha mara moja Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe.
Mtemvu amesema katika kipindi kifupi alichokaa katika Jiji la Dar es Salaam, Mkurugenzi huyo amesababisha matatizo makubwa kwa wananchi, ikiwa ni pamoja na kuendesha mambo kibabe.
“Nakuomba mama yangu Hawa Ghasia, tunakuheshimu sana, mkurugenzi wa jiji (la Dar es...
MBUNGE wa Temeke (CCM), Abbas Mtemvu amemtaka Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia kumuhamisha mara moja Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe.
Mtemvu amesema katika kipindi kifupi alichokaa katika Jiji la Dar es Salaam, Mkurugenzi huyo amesababisha matatizo makubwa kwa wananchi, ikiwa ni pamoja na kuendesha mambo kibabe.
“Nakuomba mama yangu Hawa Ghasia, tunakuheshimu sana, mkurugenzi wa jiji (la Dar es...
11 months ago
Mwananchi 31 JanTiketi za elektroniki zazua jambo
>Bodi ya Ligi (PTL) inayosimamia Ligi Kuu Bara, imeamua kuingilia kati suala la kutumika kwa tiketi za elektroniki baada ya kuomba kupata taarifa ya fedha zinazoingia kutokana na mauzo ya tiketi.
10 months ago
BBCSwahili 13 FebUbakaji 'ni jambo la kawaida' Somalia
Shirika la Human Rights Watch limeitaka serikali ya Somalia kufanyia mageuzi sheria za kukabiliana na visa vingi vya ubakaji wa wanawake ambavyo vimekithiri nchini humo.
9 months ago
Mwananchi 05 AprMsekwa: Sitta ana lake jambo
>Siku moja baada ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samwel Sitta kukiri kuchezewa kwa saini ya aliyekuwa Katibu wa Bunge la Tanganyika, Pius Msekwa na Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Msekwa amesema, ‘mzungumzaji huyo ana lake jambo’.
9 months ago
GPLWOLPER ATESWA MTANDAONI
STORI: Erick Evarist STAA wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa anaumizwa na mashabiki wanaomshushia lawama kwa kila anachofanya. Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper. Akizungumza na paparazi wetu, Wolper alisema wakati mwingine na yeye ni binadamu lakini kila anachokifanya, wafuasi wa mitandao ya kijamii wamekuwa wakimporomoshea lawama. “Nashangaa kabisa kuna watu hata ufanye jema wao ni lawama,...
8 months ago
Mwananchi 10 AprMwanazuoni: Wanaomwandama Warioba wana lao jambo
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Emmanuel Kilatu, ametaka wanaomshambulia kwa maneno Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba kuacha tabia hiyo mara moja.
No comments:
Post a Comment