Siku ya jana baada ya Rais kutangaza rasmi
kwamba Mh Anna Tibaijuka anachia nafasi yake ili wengine waongoze mtoto wake wa
kike anajulikana kwa jina la Kagem Tibaijuka ameibuka kwenye ukurasa wake wa
Twitter akiwatukana wanachi matusi ya nguoni bila hata ya kuangali kama mama
yake anamakosa au lah na alicho kiandika sasa hiki hapa chini

No comments:
Post a Comment