JB BETHIDEI YANGU NI KANISANI TU!


Stori: Mayasa Mariwata
LEGENDARY wa sinema za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’ amesema kuwa, miongoni mwa vitu ambavyo vimemkalia kushoto ni kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kufanya sherehe, yeye siku zote hufanyia kanisani kwa kufanya maombi.
Legendary wa sinema za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’
Msanii huyo ambaye siku chache zilizopita alitimiza miaka kadhaa ambayo hakuwa tayari kuiweka wazi, alisema haoni umuhimu wa kupoteza fedha kwa kufanya sherehe kubwa katika siku yake ya kuzaliwa…

No comments:

Post a Comment