PAMOJA na tetesi kuwa nguli wa filamu za Kibongo Blandina Chagula ‘Johari’, ameshindwa kushika mimba, mwenyewe ameamua kufunguka na kudai kuwa kizazi chake kinafanya kazi na anachosubiri ni kumpata mwanaume ambaye atakuwa tayari kumuoa ndipo atakaporuhusu kuzalishwa.
Akizungumza na Amani, Johari alisema kuwa endapo akitokea tayari yupo ndani ya ndoa anaweza kufanya hivyo lakini kwa maneno ya watu kamwe watasubiri kwani…
No comments:
Post a Comment