WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2015 WATAJWA


Naibu Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI, Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Waandishi wa habari wakiwa kazini.
NAIBU Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI Mhe. Kassim Majaliwa leo ametoa taarifa ya serikali kuhusu wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2015.
Akizungumza na wanahabari katika ukumbi wa osifi za TAMISEMI, jijini Dar, Majaliwa alisema;“Wanafunzi 438, 960…

No comments:

Post a Comment