KAJALA AFUNGUKIA ‘PROJECT’ NA IZZO BUSINESS


Stori: Imelda Mtema

BAADA ya kusambaa kwa picha nyingi mtandaoni zikimuonesha akiwa na staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Simwinga ‘Izzo Business’, mwigizaji Kajala Masanja ameibuka na kueleza kuwa ukaribu huo ni wa kikazi zaidi.
Staa wa mwigizaji Bongo Movies, Kajala Masanja.
Mapema wiki hii, kupitia mtandao wa Instagram, Kajala alitupia picha tofautitofauti wakiwa sehemu moja na Izzo kiasi cha kuzua mashaka ndipo mwandishi wetu…

No comments:

Post a Comment