MTOTO mzuri Bongo Movies, Rose Ndauka amewatega mashabiki wake kwa kutupia picha ya kidole chake chenye pete ya uchumba kwenye mtandao wa Instagram kuashiria kuwa amechumbiwa.
Mara baada ya paparazi wetu kuiona picha hiyo iliyozua mjadala mkubwa mtandaoni, alimtafuta Rose na kumtaka afunguke kama amechumbiwa upya baada ya kumwagana na aliyekuwa mchumba’ke, Malick Bandawe hivi karibuni.…
No comments:
Post a Comment