L U C Y KOMBA AMPELEKEA MZUNGU MWANAYE AMLEE


Stori: Mayasa Mariwata
STAA wa filamu Bongo ambaye miezi michache iliyopita alifunga pingu za maisha na mwanaume mwenye asili ya Denmark, Lucy Komba amekwea pipa kuelekea nchini humo kwenda kuishi na mumewe sambamba na kumpelekea mwanaye amlee.
Staa wa filamu Bongo, Lucy Komba akiwa na mume wake(mdenmark) wakati wa harusi yao.
Akipiga stori na paparazi wetu kupitia Mtandao wa WhatsApp akiwa nchini Denmark, Lucy alisema aliamua kuondoka kimyakimya na kumfuata mumewe kwa kuwa alimisi mambo…
http://www.globalpublishers.info/

No comments:

Post a Comment