MADAI MAZITO: ROSE MUHANDO ATUNDIKWA MIMBA


STORI: Mwandishi Wetu

Haya ni madai mazito! Mwimbaji nyota wa muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando, anadaiwa kutundikwa mimba a.k.a ujauzito unaomfanya hivi sasa kutumia muda mwingi kujificha ndani, Risasi Jumamosi limenyetishiwa.
Mwimbaji nyota wa muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando wakati akifanya yake.
Mapema wiki hii, chanzo kimoja kilipiga simu katika chumba chetu cha habari na kusimulia kuhusu habari hiyo, kwamba, Rose ambaye hana mume, amenasa na muda wowote kuanzia sasa anaweza kuitwa…

No comments:

Post a Comment