UNG’ENG’E MBOVU WAMCHAFUA SHILOLE


Stori: Gladness Mallya

MSANII wa muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amejikuta akikwaa skendo ya kuandika Kiingereza chenye makosa baada ya mtu asiyefahamika kufungua akaunti yenye jina la msanii huyo kwenye mtandao wa Facebook na kuandika ujumbe wenye makosa.
Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’.
Maneno hayo ambayo yalikanushwa na Shilole, yalionesha kuwa msanii huyo anawaomba mashabiki wake wampigie kura msanii ambaye wanataka apafomu…

No comments:

Post a Comment