MZEE AIBUKA, ADAI ROSE NDAUKA NI MWANAYE


Nyemo Chilongani

MADAI! Mwanaume mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Severin Daniel Ndauka amejitokeza katika Ofisi za Global Publishers na kudai kwamba, staa wa sinema za Bongo, Rose Donatus Ndauka ni mtoto wa kaka yake ambaye alichukuliwa kutoka Tanga na kupelekwa jijini Dar.
Mzee Severin Daniel Ndauka anaedai kuwa Rose Ndauaka ni mwanaye.
Mzee huyo aliyekuwa akizungumza kwa kujiamini mbele ya waandishi wetu, alisema mwaka 1979, shemeji yake, Nyazimbili au mama Godwin (anayedaiwa ni mama wa…

No comments:

Post a Comment