BELLA: NITAFANYA VITU VYA UKWELI


MFALME wa masauti, Christian Bella ‘Obama’ Jumatatu ya wiki hii alitua katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere,Dar akitokea nchini Sweden na kuweka wazi kuwa amerudi nyumbani rasmi.
Mfalme wa masauti, Christian Bella ‘Obama’.
Bella aliyekuwepo Sweden kwa mambo yake binafsi, aliwaambia mashabiki wake watarajie vitu vipya kwa kuwa alikuwa nje ya nchi kwa muda mrefu na aliwamisi sana.
“Nimerudi nyumbani hakuna mtu ambaye hajui kitu ninachokifanya, nataka niwaambie mashabiki wangu niliwamisi sana na wajiandae…

No comments:

Post a Comment