ULEVI NI NOMA BINTI WA KIGOGO AFANYIWA MBAYA


Stori: Richard Bukos

ULEVI noma! Ndivyo unavyoweza kusema kuhusu kilichomtokea mtoto wa kigogo mmoja aishie Masaki ambaye alijikuta akifanyiwa kitu mbaya ndani ya maji kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, eneo la Coco jijini Dar, Jumamosi iliyopita.
Binti akijiachia na njemba huyo baada ya kupiga urabu wa kutosha.
Kabla ya tukio hilo, inadaiwa kuwa dada huyo ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, alikesha katika klabu moja iliyopo ufukweni hapo, akipiga ulabu yeye pamoja na…

No comments:

Post a Comment