ROSE MHANDO: NILITEKWA KWA BASTOLA NIKAPELEKWA PORINI KUFANYA MAPENZI


Stori: Erick Evarist na Imelda Mtema

NYOTA wa Nyimbo za Injili Bongo, Rose Mhando (pichani)amefungukia eneo fupi la maisha yake magumu ambapo alisema amewahi kutekwa kwa bastola na mwanaume mmoja, akampeleka msituni ambako alimlazimisha kuwa naye kimapenzi lakini akadunda.
Nyota wa Nyimbo za Injili Bongo, Rose Mhando.
Akizungumza na Gazeti la Amani juzi, Rose alieleza kwa machungu kwamba, tukio hilo lilimkuta hivi karibuni mjini Dodoma ambako ndiko kwenye makazi yake ya…

No comments:

Post a Comment