Lori la mafuta limekata tela lenye namba za
usajili T 172ABT na kupibnduka jioni hii katika makutano ya barabara za Nyerere
na Mandela jijini Dar es Saam kwa kile kilichoelezwa na baadhi ya mashuhuda kuwa
ni mwendo kasi aliyokuwa nao dereva wa lori hilo aliyekuwa akikata kona akitokea
mjini Barabara ya Nyerere kwenda barabara ya Kawawa.
Mafuta aina ya petroli yakimwagika
Polisi Usalama barabarani wakilinda eneo
hilo
Tela hilo T 172ABT likiwa chini Picha kwa
hisani ya Father Kidevu

No comments:
Post a Comment