
STAA Afrika Mashariki, Nasibu Abdul ‘Diamond’,
amefunguka kwamba haamini kama kweli amepata nafasi ya kutumbuiza kwenye sherehe
za utoaji tuzo za wanamichezo bora zilizoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika
(CAF) ambazo zimefanyika huko jijini, Lagos, Nigeria.
No comments:
Post a Comment