Fidel Odinga na mkewe
Polisi kenya ambao walikuwa wakifanya uchunguzi
juu ya kifo cha mtoto wa waziri mkuu wa zamani wa nchini hiyo Raila odinga,
Fidel Odinga na Repoti ya polisi inasema kwamba ndani ya Nyumba yake kulikuwa na
risasi ndogo na risasi ya kurushia bomu na zaidi ya risasi 1900 ndaniya nyumba yake iliyoke Karen jijini
Nairobi,
Pia walifanikiwa kukuta jacket proof
zinazotumika kuzuia risasi na miwani za usiku maarufu kama and night vision
goggles. Polisi wanasema Marehemu Fidel Odinga alikuwa na usajili wa kumiliki
silaha ndogo
Picha za Matukio kwenye Msiba wa Mtoto wa Raila
Odinga, Fidel Odinga Kisumu.



No comments:
Post a Comment