BABY MADAHA: NIKIFA NISIZIKWE DAR



WAKATI baadhi ya wasanii wa hapa jijini, Dar wakifa huzikwa hapahapa, jambo hilo limekuwa ni tofauti kwa nyota wa filamu na muziki, Baby Madaha baada ya kufunguka kuwa akitokea amekufa hataki kuzikwa Dar na badala yake azikiwe jijini, Mwanza.
Nyota wa filamu na muziki, Baby Madaha.
Akizungumza na Uwazi, Madaha alisema kuwa hajui kifo chake kitatokea lini na anachotaka ni kutimiza yale aliyopewa kama wosia na marehemu baba yake ambaye alizikwa jijini Mwanza. “Nasema ukweli sitaki kuzikwa Dar…

No comments:

Post a Comment