DAVINA: CHONDECHONDE WAGOMBEA!


Staa wa Bongo Movies, Halima Yahya ‘Davina’.
Stori: Laurent Samatta

TAHADHARI! Staa wa Bongo Movies, Halima Yahya ‘Davina’, amewatahadharisha viongozi mbalimbali wenye nia ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchanguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani 2015 kuwa makini ili wasisababishe vurugu au uvunjaji wa amani.
Davina alifunguka hayo juzikati katika mahojiano maalumu na paparazi wetu ambapo alisema mwaka huu unakuja kukiwa na changamoto nyingi kutokana na matukio mbalimbali yanayoendelea kutokea hivyo viongozi na Watanzania kwa ujumla wanatakiwa kuwa makini ili kuepuka umwagaji wa damu.
“Huu mwaka mzito sana na tunaweza…

No comments:

Post a Comment