RAY C AWAPA SOMO LA UNGA KIBA, DIAMOND


Mkongwe kwenye muziki wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’.
Stori: Laurent Samatta

SOMO! Mkongwe kwenye muziki wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’, ametoa tahadhari kwa wasanii kutotumia madawa ya kulevya (unga) ndani ya mwaka huu 2015 huku akiwatupia jicho zaidi nyota wanaofanya vizuri kwenye gemu kwa sasa, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Ali Kiba.
Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.
Ray C ambaye ni mmoja wa wasanii waliotumia madawa hayo na kumpa mateso makubwa kisha kuamua kuyaacha, amesema…

No comments:

Post a Comment