DIAMOND AMDUNGA MIMBA ZARI!


Stori: waandishi wetu/Ijumaa

BAADA ya kufunguka kuwa zilipendwa wake, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na Penniel Mwingilwa ‘Penny’ wamegoma kumzalia, habari ya mjini kutoka kwa mfalme wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ni kwamba anadaiwa kumdunga mimba mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’, Ijumaa linakupa ubuyu wa motomoto.…

No comments:

Post a Comment