TUHUMA NZITO: MAMA AMCHARANGA VIWEMBE MWANAYE


Stori: Gabriel Ng’osha na Denis Mtima/Ijumaa

Unyama wa kutisha! Mama mzazi aliyetajwa kwa jina la Feromena, mkazi wa Meko-Mtongani, Kunduchi jijini Dar, anatuhumiwa kumcharanga viwembe mwanaye wa kumzaa aliyetajwa kwa jina moja la Zena mwenye umri wa miaka kumi.
Mtoto anayefahamika kwa jina la Zena anayedai kunyanyaswa na mama yake.
Tukio hilo la kulaaniwa lilijiri Jumanne wiki hii nyumbani kwa mwanamke huyo maeneo hayo ambapo mama huyo inadaiwa alimsulubu mwanaye huyo anayesoma darasa la nne…

No comments:

Post a Comment