Escrow yaburuza wawili kizimbani

Mmoja wa watuhumiwa wa kashfa ya uchotaji fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow ambao ni watumishi waandamizi wa umma, Theofillo Bwakea akiwa chini ya ulinzi wa Polisi akipanda ngazi kuingia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam walipofikishwa kusomewa mashtaka yao jana. (Picha na Fadhili Akida).WATUMISHI wawili waandamizi wa Serikali wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kupokea zaidi ya Sh milioni 485 ambazo ni sehemu ya fedha zilizokuwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow.

habarileo
Read more

No comments:

Post a Comment