KOLETA SASA NIPO TAYARI KUZAA BILA NDOA

Na Gladness Mallya/ Amani

KUTOKANA na umri kumtupa mkono, msanii wa filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ ameibuka na kutengua kauli aliyowahi kuitoa kwamba hawezi kuzaa nje ya ndoa na kusema kwa sasa yupo tayari kufanya hivyo muda wowote.
Msanii wa filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koleta’.
Akistorisha na Amani, Koleta alisema kwa sasa yupo tayari kuzaa hata bila ndoa kwani ni muda mrefu amekuwa…

No comments:

Post a Comment