RIYAMA: NIMEMPITA BABA WATOTO WANGU MIAKA 10


Na Imelda Mtema/Amani
STAA mkali wa filamu za Bongo, Riyama Ally amefunguka kwa kinywa chake kuwa baba aliyezaa naye mtoto wake wa kike aitwaye Fatma, amempita takriban miaka 10.Riyama alizungumza hayo alipokuwa akihojiwa katika kipindi kimoja cha TV na kusema kuwa hakuna chochote kinachohusiana na umri katika suala la mapenzi kwa sababu ingekuwa kuna tatizo basi kwa upande wake ingekuwa shida.
Riyama Ally akiwa na baba watoto wake.
“ Jamani sidhani kama kuna uhusiano wowote wa umri…

No comments:

Post a Comment