WAKATI diva wa filamu Bongo, Kajala Masanja ‘Kay’ akielezwa kuwa mambo yake hivi sasa yako kwenye mstari kwa kusajili kampuni yake ya mambo ya sinema, mwanamke aliyejitambulisha kwa jina moja la Pamela ameibuka na kumtaka muigizaji huyo kuacha kumfuata mume wake, Amani lina data kamili.
Mwanamama huyo, anayefanya kazi ‘nzuri’ katika shirika moja kubwa nchini, aliliambia gazeti hili kuwa Kajala, amekuwa akitembea na mumewe…
No comments:
Post a Comment