ESTER: MIMI SIYO MBURULA, WANAOJIUZA NI HAOHAO!


Na Imelda Mtema/Ijumaa

Msanii wa filamu anayeonekana kuwa moto, Ester Kiama amefunguka kuwa, wanaodhani ameingia kwenye fani ya uigizaji ili kutafuta wanaume wamebugi kwa kuwa yeye siyo mburula na hajui hata anaanzaanzaje kufanya hivyo.
Msanii wa filamu anayeonekana kuwa moto, Ester Kiama.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Ester alisema wakati alipokuwa nje ya fani alikuwa hapati usumbufu lakini sasa ameamua kuonyesha kipaji chake anaonekana kama ameingia kujiuza kama wanavyofanya baadhi ya wasanii…

No comments:

Post a Comment