Askari Polisi akikagua katika begi la mmoja kati
ya watu wanaotoka ndani ya uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere leo
ambapo askari hao wamesimama usawa wa geti la kutokea magari na kusimamisha
baadhi ya magari na kisha kukagua mabegi kama hivi, jambo ambalo limelalamikiwa
na baadhi ya wananchi ambao wamekuwa wakisumbuliwa na askari hao ambao wamekuwa
wakichagua baadhi ya magari ya kuyakagua kama hivi.

No comments:
Post a Comment