IYOBO: HATA KAMA AUNT AMENIZIDI UMRI, HAIHUSU


Dansa grade one wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo akiwa na Aunt Ezekiel.
Stori: mwandishi wetu/Risasi

DANSA grade one wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo amenyanyua kinywa chake na kusema hata kama mpenzi wake, Aunt Ezekiel amemzidi umri, ataendelea kumpenda hivyohivyo.

Akizungumza na mwanahabari wetu juzikati, Iyobo.
alisema watu wengi wamekuwa wakihoji yeye kumpenda Aunt

ambaye ana umri wa miaka 29, hawajui tu mapenzi hayaangalii umri kwani miaka ni namba tu za kuhesabika.

“Age is just a number, mimi sioni tatizo kuwa na Aunt. Nategemeaanizalie, awe mama wa watoto wangu. Kuhusu wale wanaosema nina mke mwingine, si…

No comments:

Post a Comment