ROSE NDAUKA AFUNGUKA KUTOMMISI MZAZI MWENZAKE


Mwigizaji wa filamu Bongo, Rose Ndauka.
Na Laurent Samatta/Risasi
KAMA kawa kama dawa, tunakutana tena katika safu yetu ya Sindano 5, kutokana na maombi mliyonitumia wiki iliyopita tulipoianza safu hii, leo tunawaletea mwigizaji Rose Ndauka ambaye wengi mlimpendekeza awepo katika safu hii.
Mahojiano kati yake na paparazi wetu yalikuwa hivi:

•Paparazi: Rose Ndauka mambo vipi? Siri ya urembo wako ni nini maana kuna tetesi kwamba mkorogo ndiyo unaokufanya uonekane mzuri?

Rose Ndauka: Siri ya urembo wangu anaijua Mungu. Hakuna zaidi ya hapo.
•Paparazi: Umeachana na mzazi mwenzio, Malick Bandawe ambaye mliishi kwa muda mrefu, nini unakimisi…

No comments:

Post a Comment