MSANII wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ na aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu, Ruta Maximilian Bushoke wamemwagana na hakuna cha ndoa tena.
Akizungumza na Uwazi, Kabula alitoa ya rohoni na kusema kuwa wamefikia hatua hiyo baada ya kuona mwenzake haoneshi msimamo katika mkakati wao wa kuoana hivyo kwa sasa wamebaki kuwa marafiki wa kawaida tu kwa sababu wote ni…
No comments:
Post a Comment