MONALISA: MIMI SI GUBEGUBE


Na Laurent Samatta/UWAZI

MSANII wa kitambo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Yvonne Cherly ‘Monalisa’ (33) amesema kuwa yeye siyo gubegube kwani alishawahi kukaa ndani ya ndoa lakini sasa ameamua kutulia.
Msanii wa kitambo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Yvonne Cherly ‘Monalisa’.
Akipiga stori mbili-tatu na Uwazi, Monalisa alisema kuwa hata kama akiamua kurudi upya kwenye ndoa anaweza na kutilia msisitizo kuwa mwanaume atayemuoa lazima atambue kuwa anayemuoa ni Yvonne Cherly na si…

No comments:

Post a Comment