KAMPENI YA USALAMA BARABARANI YA" WAIT TO SEND"YAENDELEA KANDA YA ZIWA
Ofisa wa Jeshi la Polisi – Kikosi cha Usalama
Barabarani Mkoa wa Mwanza 7171 Josephine (kushoto), akimpima kiwango cha pombe
mwilini dereva Alex John wakati wa operesheni ya usalama barabarani iliyofanyika
Mkoani humo ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya Usalama Barabarani ya “Wait to
Send” inayohamasisha madereva wa vyombo vya moto kutokutumia simu za mkononi
wakati wakiwa wanaendesha kampeni hiyo inadhamiwa na Vodacom Tanzania.
Dereva wa kampuni ya mabasi ya Mohamed Trans, Soud
Nassoro (katikati) akitumia kifaa maalum cha kupima kilevi huku askari wa kikosi
cha usalama barabara jijini Mwanza, F4278 PC Luge na Mkuu wa Vodacom Tanzania
Kanda ya Ziwa, Domicien Mkama akishuhudia wakati wa operesheni ya usalama
barabarani iliyofanyika katika kituo cha mabasi Nyegezi Mkoani humo ikiwa ni
mwendelezo wa kampeni ya Usalama Barabarani ya “Wait to Send” inayohamasisha
madereva wa vyombo vya moto kutokutumia simu za mkononi wakati wakiwa wanatumia
vyombo hivyo.Kampeni hiyo inadhamiwa na Vodacom Tanzania.
Dereva Lucas Kibogi akipuliza kifaa maalum cha kupima
kilevi mwilini kama ana kilevi mwilini wakati wa zoezi maalum la usalama
barabarani lililofanyika katika kituo cha mabasi Nyegezi Mkoani humo ikiwa ni
mwendelezo wa kampeni ya “Wait to Send” inayohamasisha madereva wa vyombo vya
moto kutokutumia simu za mkononi i wakiwa wanatumia vyombo hivyo. Kampeni hiyo
inadhamiwa na Vodacom Tanzania.
Ofisa wa Jeshi la Polisi – Kikosi cha Usalama
Barabarani Mkoa wa Mwanza Koplo Jeremia akimpima kilevi kwa kutumia kifaa maalum
dereva Nyange Migoko (katikati) wakati wa zoezi maalum la usalama barabarani
lililofanyika katika kituo cha mabasi Nyegezi Mkoani humo ikiwa ni mwendelezo wa
kampeni ya “Wait to Send” inayohamasisha madereva wa vyombo vya moto kutokutumia
simu za mkononi wakati wakiwa wanatumia vyombo hivyo. Kampeni hiyo inadhamiwa na
Vodacom Tanzania.
No comments:
Post a Comment