Stori: Chande Abdallah, Mayasa Mariwata, Shani Ramadhani na Denis Mtima/ Ijumaa Wikienda
WAKATI kukiwa na dhana ya baadhi ya wafanyakazi na wateja wa mabenki nchini kuvujisha taarifa za wateja wanaotoa kiasi kikubwa cha fedha kwa majambazi ambapo mwishowe wateja hao huvamiwa na kuporwa, Oparesheni Fichua Maovu (OFM) imetinga ndani ya benki kadhaa jijini Dar na kugundua udhaifu mkubwa katika ulinzi, Ijumaa Wikienda limeshika ushahidi mkononi.
Makamanda wa OFM (katikati) wakiwa ndani ya benki.
Kutokana na matukio mfululizo ya wateja kuvamiwa mara baada ya kutoka kuchukua fedha ndani ya mabenki, watu kadhaa walitoa malalamiko yao kwa OFM wakitaka suala hilo lifanyiwe kazi kwa kuwa wao wanaamini kuna udhaifu mkubwa kwenye sekta ya ulinzi.Wakizungumza na Ijumaa…
No comments:
Post a Comment